Jana nilimuona Mbowe ana box moja la hiyo dawa, kwani nae atakuwa ameinunua Chato?Dawa ipo karbu kila pharmacy pale Chato kwingne hamna.
Jana nilimuona Mbowe ana box moja la hiyo dawa, kwani nae atakuwa ameinunua Chato?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabibo external...unalipia bank unaenda na receipt
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Bei ikoje?Muhimbili hospitali kuna banda lao.
Sikuuliza bei kwa pale ila huwa bei rahisi ukienda pale kuliko ukienda kununua bidhaa zao sehemu nyengine,sema kama vp wacheck whatsapp 0652015853.Bei ikoje?
Asante sana mkuuuSikuuliza bei kwa pale ila huwa bei rahisi ukienda pale kuliko ukienda kununua bidhaa zao sehemu nyengine,sema kama vp wacheck whatsapp 0652015853.