Naomba msaada kujua qualification kwenye NBAA

Naomba msaada kujua qualification kwenye NBAA

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
Jamani wadau yeyote ambaye anajua kuhusu NBAA.maana mimi natakujiunga maana nina diploma.sielewi nitakuwa stage ipi
 
Kama una advanve diploma ya uhasibu kutoka chuo kilichosajiliwa na tcu utaanza module e
Km una diploma ya ordinary ya uhasibu utaanza module a
 
Back
Top Bottom