Brice85
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 877
- 1,765
Namba msaada kujua sheria inayosimamia Reseni hususani reseni ya udereva kama imebadilishwa au La.
Ndugu wana jamvi siku za nyuma kabla hatujaletewa reseni mpya kwa kipindi kile tulikuwa tunatumia reseni kama vitabu madaraja ya reseni yalikuwa haya haya isipokuwa daraja B ndilo halikuwa maarufu nasema hivyo kwa sababu sikuwahi kukutana nalo popote pale na daraja C1 na C2.
Hivyo kama ilivyofahamika kwa kipindi kile:-
Daraja A ilikuwa kwa pikipiki na daraja D kwa magari binafsi yenye uzito usiozidi tani tatu na nusu na yasio zidi abiria 7.
Daraja C ni kwa magari yote ya abilia.
Daraja E ni kwa magari ya mizigo kwanzia tani tatu na kuendelea.
Daraja G ni Trecta na
DarajaF ni kwa mitambo.
Sasa baada ya kuja hizi reseni mpya, kwanza madaraja yaliongezeka kuwa A, A1, A2, B, D, C, C1, C2, C3, E, F na G na haikuishia hapo yakachorewa na michoro ya mfano wa vyombo husika vinavyotakiwa kwa kila daraja.. sasa hapa ndipo penye shida kubwa kwangu na watu wengine pamoja na watu wa usalama barabarani katika kutafsiri hii kitu.
Michoro inaonyesha :-
daraja A zote ni pikipiki na makundi yake,
daraja B ni gari aina ya SALOON,
daraja C ni BUS huku daraja C1 ni Bus na tera na daraja C2 ni Bus dogo na tera huku daraja C3 ni Tax.
Wakati daraja D ni mfano wa pickup
daraja E ni Marori
daraja F ni mitambo na
daraja G ni trecta.
Swali langu hii sheria imebadilishwa kutokana na matumizi ya madaraja ya reseni? Maana huku barabarani kila mtu anazungumza lake.
Juu ya daraja B,D imekuwa ikiwachanganya wengi wa watu wakiwemo madereva na askari wa usalama barabarani.