Naomba msaada kumwelewa Lissu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali ya CCM wenzie wakipewa anapiga kelele kuwa wamelamba asali ya CCM

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Naomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM

Mfano kwenye mchango wa kuchangia ununuzi wa gari yake binafsi CCM ilitoa milioni tano kumchangia na alipokea kwa shukrani sana

Wenzie huko Chadema wakichangisha CCM wakatoa anaenda huko na huko kutangaza kuwa wamelamba asali ya CCM hawafai kuwa viongozi Chadema nk

Hii ni kitu gani? Mnaomwelewa Lisu na hiyo falsafa yake ya kulamba asali nifafanulieni

Hizo pesa alizopokea CCM hakulamba asali ya CCM?
 
Gentleman,
hakuna haja ya kubabaika nae saaana,
ila ni muhimu ikafahamika wazi kwamba huo ni utapeli wa pesa kisiasa, unaoweza kufanywa na kibaka wa siasa pekee huenda huyo ndie 🐒
 
Ww ni matak...kabisa
 
Gentleman,
hakuna haja ya kubabaika nae saaana,
ila ni muhimu ikafahamika wazi kwamba huo ni utapeli wa pesa kisiasa, unaoweza kufanywa na kibaka wa siasa pekee huenda huyo ndie 🐒
Nakubaliana na wewe
 
Lisu tatizo lake ni kubwa mno,linafichwa na elimu yake na ujasiri,ila kuna siku baadhi ya watu watagundua ni walewale tu,hofu yangu ni kuchelewa kugundua.
 
Naomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM

Mfano kwenye mchango wa kuchangia ununuzi wa gari yake binafsi CCM ilitoa milioni tano kumchangia na alipokea kwa shukrani sana

Wenzie huko Chadema wakichangisha CCM wakatoa anaenda huko na huko kutangaza kuwa wamelamba asali ya CCM hawafai kuwa viongozi Chadema nk

Hii ni kitu gani? Mnaomwelewa Lisu na hiyo falsafa yake ya kulamba asali nifafanulieni

Hizo pesa alizopokea CCM hakulamba asali ya CCM?
Nenda shule wewe uongee hoja zenye mshiko. Nani alikuambia kulamba asali ni kuchangiwa hadharani fedha za kitu kama kukusaidia kununua gari ambako kunafanywa na kila mtu, bila kujali cha chake, dini yake, kabila lake nk?

Watu wajinga wa namna hii kuna siku mtu wa Chaddema atafiwa akichangiwa fedha za rambirambi na watu wa CCM mtasema ameramba asali! Kulamba asali ni rushwa na inafanyika kifichoni. Kweli akili ni nywele
 
Nenda shule wewe uongee hoja zenye mshiko. Nani alikuambia kulamba asali ni kuchangiwa hadharani fedha za kitu kama kukusaidia kununua gari ambako kunafanywa na kila mtu, bila kujali cha chake, dini yake, kabila lake nk?
Mbowe alipeleka kuchangiwa mchango wa kujenga kanisa Machame Askofu Shoo akapokea Mama Samia Mwenyekiti wa CCM akachangia mamilioni Lisu akasema baadhi ya viongozi wa dini wanalamba pesa za Abdul na Mama yake

Wakati hizo pesa million 150 hazikuingia akaunti binafsi ya Mbowe tofauti na pesa ambazo Lisu aliongea achangiwe gari yake binafsi pesa ziliingia personal akaunti ya Lisu fisadi mkubwa hajatoa ripoti hadi leo nani alichangia shilingi ngapi mchanganuo

Kakauka kimya utafikiri hakuitisha michango huyo kibaka Lisu as if CCM haikumpa hela

Anadai ooh hela za umma ziwe transparent za kwake kachangiwa mbona hayuko transparent kutoa ripoti kuwa nani kachanga na shilingi ngapi?

Charity begins at home

Lisu kibaka mnaomchangia wito wa kuchangia wa Lisu changieni at your own risk
 
Naomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM

Mfano kwenye mchango wa kuchangia ununuzi wa gari yake binafsi CCM ilitoa milioni tano kumchangia na alipokea kwa shukrani sana

Wenzie huko Chadema wakichangisha CCM wakatoa anaenda huko na huko kutangaza kuwa wamelamba asali ya CCM hawafai kuwa viongozi Chadema nk

Hii ni kitu gani? Mnaomwelewa Lisu na hiyo falsafa yake ya kulamba asali nifafanulieni

Hizo pesa alizopokea CCM hakulamba asali ya CCM?
Toa ushahidi kuwa kapewa, atakujibu tu.
 
Back
Top Bottom