Gentleman,Naomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM
Mfano kwenye mchango wa kuchangia ununuzi wa gari yake binafsi CCM ilitoa milioni tano kumchangia na alipokea kwa shukrani sana
Wenzie huko Chadema wakichangisha CCM wakatoa anaenda huko na huko kutangaza kuwa wamelamba asali ya CCM hawafai kuwa viongozi Chadema nk
Hii ni kitu gani? Mnaomwelewa Lisu na hiyo falsafa yake ya kulamba asali nifafanulieni
Hizo pesa alizopokea CCM hakulamba asali ya CCM?
Hivi huyu jamaa huwa anajielewa??uchawa ni dhambi kubwa tubuGentleman,
hakuna haja ya kubabaika nae saaana,
ila ni muhimu ikafahamika wazi kwamba huo ni utapeli wa pesa kisiasa, unaoweza kufanywa na kibaka wa siasa pekee huenda huyo ndie 🐒
Ww ni matak...kabisaNaomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM
Mfano kwenye mchango wa kuchangia ununuzi wa gari yake binafsi CCM ilitoa milioni tano kumchangia na alipokea kwa shukrani sana
Wenzie huko Chadema wakichangisha CCM wakatoa anaenda huko na huko kutangaza kuwa wamelamba asali ya CCM hawafai kuwa viongozi Chadema nk
Hii ni kitu gani? Mnaomwelewa Lisu na hiyo falsafa yake ya kulamba asali nifafanulieni
Hizo pesa alizopokea CCM hakulamba asali ya CCM?
mtu ana stress za kufilisika pension yake yote ya ubunge kwa kubeti anakuja kuhadaa wananchi, kweli?🤣Hivi huyu jamaa huwa anajielewa??uchawa ni dhambi kubwa tubu
Nakubaliana na weweGentleman,
hakuna haja ya kubabaika nae saaana,
ila ni muhimu ikafahamika wazi kwamba huo ni utapeli wa pesa kisiasa, unaoweza kufanywa na kibaka wa siasa pekee huenda huyo ndie 🐒
Nenda shule wewe uongee hoja zenye mshiko. Nani alikuambia kulamba asali ni kuchangiwa hadharani fedha za kitu kama kukusaidia kununua gari ambako kunafanywa na kila mtu, bila kujali cha chake, dini yake, kabila lake nk?Naomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM
Mfano kwenye mchango wa kuchangia ununuzi wa gari yake binafsi CCM ilitoa milioni tano kumchangia na alipokea kwa shukrani sana
Wenzie huko Chadema wakichangisha CCM wakatoa anaenda huko na huko kutangaza kuwa wamelamba asali ya CCM hawafai kuwa viongozi Chadema nk
Hii ni kitu gani? Mnaomwelewa Lisu na hiyo falsafa yake ya kulamba asali nifafanulieni
Hizo pesa alizopokea CCM hakulamba asali ya CCM?
Mbowe alipeleka kuchangiwa mchango wa kujenga kanisa Machame Askofu Shoo akapokea Mama Samia Mwenyekiti wa CCM akachangia mamilioni Lisu akasema baadhi ya viongozi wa dini wanalamba pesa za Abdul na Mama yakeNenda shule wewe uongee hoja zenye mshiko. Nani alikuambia kulamba asali ni kuchangiwa hadharani fedha za kitu kama kukusaidia kununua gari ambako kunafanywa na kila mtu, bila kujali cha chake, dini yake, kabila lake nk?
Toa ushahidi kuwa kapewa, atakujibu tu.Naomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM