Naomba msaada kutoka kwa mfugaji wa kuku wa mayai(layers)

Naomba msaada kutoka kwa mfugaji wa kuku wa mayai(layers)

Rossoneri

Senior Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
141
Reaction score
147
Habarini wana jukwaa
Nina mpango wa kuanza ufugaji wa kuku wa mayai.
Naomba msaada wa kupata mfugaji wa kuku hao anayefuga kwa large scale itakua vizuri zaidi,niweze kumtembelea ili nipate kufanya field study.

Nipo dar,naweza kumtembelea popote hata maeneo ya pembezoni mwa mji.
 
We ni Zakayo wa biblia unataka ukachukue kodi, eti large scale popote utaenda.
 
We ni Zakayo wa biblia unataka ukachukue kodi, eti large scale popote utaenda.
Umetumia vizuri uhuru wa kutoa mtazamo wako na unaheshimika.

ila ni vizuri pia ungefikiria upande wa pili kua na fikra chanya juu ya mtu anaeomba msaada akiwa anataka kujikwamua kiuchumi na mtazamo wako unaweza kumfanya ajisikie vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom