Naomba msaada kuyajua uhusiano wa haya kiuchumi...

deebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
353
Reaction score
229
Habarini wakuu? kuna mambo sio vibaya kama ntapata ufafanuzi juu ya bank za hapa nchini na mifumo ya kiserikali kupitia maswali haya...

1; je kuna utofauti kati ya azina kuu na benki kuu ya Tz? Ki utendaji utofauti ni upi kama upo?

2; benk kama NBC, NMB CRDB n.k zina uhusiano gan na azina kuu au na benki kuu?

3; ni kwel benk hizi zina operate independently bila nguvu ya serikali? Kama sio kazi ya serikali ni hipi ken cash flow za ma benk? je serikali ina weka kodi za raia kwenye taasis hizi binafsi?

4; who prints our money? pale ambapo serikali haina pesa kwann isi print pesa zake? kwan ku import printed money kwenye mzunguko kuna athar gani kiuchumi?

Ni hayo tu wakuu, katika harakat za kujifunza vitu tusivyo vijua... tusaidiane tafadhar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…