Pole sana my Dear, kunywa maji ya moto asubuhi na usiku before sleeping even after sex that day and then kandakanda tumbo la chini, yaani chini ya kitovu kwa taulo or kitambaa ulichokiloweka kwenye maji ya moto or unaweza kujikanda kwa kutumia nafikiri inaitwa hot water bottle, iko phamarcy, wajawazito wanatumia kujikanda mgongo kwa kuiegemea, ni ya plastic laini, kama design fulani ya rubber, make sure ukishaijaza maji ya moto uifunge vizuri