Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

89N

Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
25
Reaction score
11
Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
 
Unatoka Kada gani na unaenda ipi? Je Ikama ikoje katika Ofisi hiyo kuna unitaji wa mtu katika Kitengo/Idara unayo taka kwenda!
 
Niko mwl sec, naenda maendeleo ya jamiii,
Ila nmeelekezwa kutuma barua tamisemi,
 
Back
Top Bottom