Naomba msaada kwa anayefahamu vizuri gari aina ya Surf

Naomba msaada kwa anayefahamu vizuri gari aina ya Surf

Malungwana

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
187
Reaction score
99
Ndugu wana jamvi.

Nawaomba msaada maelezo uzuri na ubaya wa gari hili hapa kwenye attachment, ninataka kulinunua, ila sina uzoefu mwingi kuhusu gari hili.

Asanteni sana

IMG-20160812-WA0004.jpg
 
Mie sina uzoefu sana ili nilikuwa naitumia kazini,yaani ilikuw ainachukua staff sikuwa driver.
Ni gari nzuri na za safari.
Ila tatizo nililoliona ni seats zake,yaani zipo chini sana,ukiwa mtu mrefu kiasi basi miguu unakunja kama upo chooni.Seat to seat hakuna distance kabisaaa.
Safari ndefu miguu inachoka sana.
Ila rest of aza naona ni nzuri,watakuja watu wa masuala ya ufundi watakupa ya ufundi zaidi.

Na pia uweke bei kwamba unauziwa bei gani,maana unaweza kuambiwa humu kwamba umepigwa au vipi.
Halafu nyingi ni diesel na manual,sasa services ikipita tu ni sheeedaaaa
 
hata mimi nahitaji maelezo zaidi kuhusu ubora na matatizo yake
 
Surf ni gari nzuri ila km n mtu wa mwendo kasi kukumwaga ni kugusa inahitaji speed ya kawaida ukizidisha inakuwa off balance km Noah
 
kiukweli surf ni gari la masafa marefu ila uwe na uwezo wa kulihudumia hasa mafuta.pia kwa anayetaka Landcruizer manual 2005 inauzwa 40million na maongezi yapo na imetembea 300000km.piga 071272210/ 0756047277 kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom