Mie sina uzoefu sana ili nilikuwa naitumia kazini,yaani ilikuw ainachukua staff sikuwa driver.
Ni gari nzuri na za safari.
Ila tatizo nililoliona ni seats zake,yaani zipo chini sana,ukiwa mtu mrefu kiasi basi miguu unakunja kama upo chooni.Seat to seat hakuna distance kabisaaa.
Safari ndefu miguu inachoka sana.
Ila rest of aza naona ni nzuri,watakuja watu wa masuala ya ufundi watakupa ya ufundi zaidi.
Na pia uweke bei kwamba unauziwa bei gani,maana unaweza kuambiwa humu kwamba umepigwa au vipi.
Halafu nyingi ni diesel na manual,sasa services ikipita tu ni sheeedaaaa