Naomba msaada kwa anayejua bei za mashine za kutengeneza mafuta ya Alizetti

Naomba msaada kwa anayejua bei za mashine za kutengeneza mafuta ya Alizetti

kama una mtu yupo dodoma mwambie atafute mzee mmoja anaitwa Nyemo ...ana mashine nzuri sana tena double refine si kama hizi na mitaani akueleze wapi amenunua
 
Kama upo DSM nenda pale shekilango Millennium Business Park opposite kuna sheri kuna kampuni inauza hizo machine utapata bei halisi nakumbuka niliambiwa 18m mwaka jana mwanzoni. Nayo ni double refinery
 
Jaribu office za SIDO zilizo karibu nawe
 
Kama upo DSM nenda pale shekilango Millennium Business Park opposite kuna sheri kuna kampuni inauza hizo machine utapata bei halisi nakumbuka niliambiwa 18m mwaka jana mwanzoni. Nayo ni double refinery
Hiyo kampuni inaitwaje? Wanazo za alizeti tu au na zingine kama za kukoboa na kusaga mahindi?
 
Hayo maalizeti yenu ya 15 yananuka sasahv nanunua sundrop au sunola tu hayana harufu.. Kama unataka kununua mashine nunua mashine ya maana ambayo itatoa mafuta mazuri.
 
Hiyo kampuni inaitwaje? Wanazo za alizeti tu au na zingine kama za kukoboa na kusaga mahindi?

Inaitwa Nile Machinery na nyingine Poly technique kama sikosei lkn zote zinafuatana na wana mashine nyingi za ku-process nafaka.
 
Back
Top Bottom