Hiyo kampuni inaitwaje? Wanazo za alizeti tu au na zingine kama za kukoboa na kusaga mahindi?Kama upo DSM nenda pale shekilango Millennium Business Park opposite kuna sheri kuna kampuni inauza hizo machine utapata bei halisi nakumbuka niliambiwa 18m mwaka jana mwanzoni. Nayo ni double refinery
Hiyo kampuni inaitwaje? Wanazo za alizeti tu au na zingine kama za kukoboa na kusaga mahindi?
Inaitwa Nile Machinery na nyingine Poly technique kama sikosei lkn zote zinafuatana na wana mashine nyingi za ku-process nafaka.