Naomba msaada kwa anayezifahamu fonimu za kipare!!

Naomba msaada kwa anayezifahamu fonimu za kipare!!

ndelekio

Member
Joined
May 5, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Habari za leo wajameni naomba anayefahamu fonimu za kipare(a,b.ch,d......) anisaidie na jedwali la mahala pa matamshi na namna ya utamkaji.
Pia kama unajua source yoyote nayowezapata material kuhusu hilo naomba.Be blessed!
 
Back
Top Bottom