N ndelekio Member Joined May 5, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Dec 29, 2012 #1 Habari za leo wajameni naomba anayefahamu fonimu za kipare(a,b.ch,d......) anisaidie na jedwali la mahala pa matamshi na namna ya utamkaji. Pia kama unajua source yoyote nayowezapata material kuhusu hilo naomba.Be blessed!
Habari za leo wajameni naomba anayefahamu fonimu za kipare(a,b.ch,d......) anisaidie na jedwali la mahala pa matamshi na namna ya utamkaji. Pia kama unajua source yoyote nayowezapata material kuhusu hilo naomba.Be blessed!