Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 Eneo la usahili: Dar es salaam. Vigezo: -Uwe na umri kuanzia 30- 45 -Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C -Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate) -Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania...