Naomba Msaada kwa "HAYA"

KasomaJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
367
Reaction score
141
Ninatafuta taarifa za vitu hivi kwani nimeamua kuwa mjasiliamali zaidi kuliko kufikiria ajira.
1. Hapa Tanzania ni wapi wanalima kwa wingi Vitunguu Saumu, Dengu na Ngano na bei pia kama inafahamika nitashukuru (kwa kilo, gunia au Tani).

2.Jina la kiswahili la zao hili nimeshindwa kulipata, kama kuna yeyote anajua anaisaidie-Flax Seed/ Lin seeds.

3.Natafuta wapi wanauza Photocopier machine Mpya au Used ila kwa bei nafuu. BMTL Nimecheck nao bei zao ni kifo nimeshinda, na ninahitaji machine yenye document feeder 15-20 Copies/Minute

4. Nafatuta wapi wanauza A/C (Split unit) Used au Mpya size ya 12bt, Authorized dealer wa LG pale Posta ya Zamani bei zao kubwa sana.

Naombeni msaada wenu wana Jamii Forums.
Asanteni.
 
Bwana mkuu suala la ngano ni gmu kidogo ila inalimwa Ironga kwa wingi lakini kiwangi chake kimekuwa kidogo sana ambapo serikali na makampuni wanaagiza kutoka nje ..je wewe unahitaji tani ngapi?
 

Mkuu try to visit MFi, then ask them kama baado wako na Kyocera photocopier. Hizi machine ni nzuri sana. ila wino wake ndio ghali lakini zina faida sana. For more information just visit them. Nauwakika watakupa watakupa machine nzuri. Also try to google Kyocera photocopy machines from Japan. You can also buy online after getting enough information from MFi.
 
mkuu vi,,,ulipata lin seed zinakopatikana tz (dar) uniambie pls 0713291947
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…