Naomba msaada kwa mwenye ujuzi hasa madaktari

Naomba msaada kwa mwenye ujuzi hasa madaktari

Mr. Mbugi

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Mke wangu anasumbuliwa na mgongo sehemu ya kati {uti wa mgongo}
HISTORIA YA MGONJWA;
Tatizo lilianza kwa maumivu kiasi lakini lilianza kuwa kubwa alipopata ujauzito na kadri ujauzito ulipokuwa mkubwa maumivu pia yalimzidi mpaka alipojifungua,toka alipojifungua maumivu bado yanamsumbua.Tulienda hospitali ya Kairuki wakampiga X-ray wakasema hana tatizo lolote akapewa vidonge vya na dawa ya kuchua mgongo,kiasi mgongo ulitulia lakini kwa sasa umeanza tena,
MSAADA;
1.Naomba ushauri wa kitabibu kwa mwenye ujuzi
2.Naomba kuelekezwa ni hospitali gani yenye dactari bingwa/mzuri kwa tatizo la mgongo.
 
Back
Top Bottom