Naomba msaada kwa tatizo langu hili la ngozi

Fetty jr

Member
Joined
Dec 17, 2018
Posts
21
Reaction score
1
Jamani habari zenu naombeni msaada kuhusu tatizo la ngozi (anajikuna Sana yanakua Kama mapunye then Kama Malibu meusi ya Moto) ambalo limedumu kwa zaidi ya miezi nane hospital mtu huyu kapima HIV zaidi ya Mara tano na inasoma negative akaambiwa Ni cells tu zinaleta reaction akapewa dermovate cream atumie na sindano ikawa inachomwa kwenye hivi vidude tatizo linapoa kwa weeks then inaendelea Tena anachomwa diprofos injection inapoa na inatokea juu kidogo ya sehemu ilioathirika mwanzo naombeni msaada kuhusu Ni tiba gani yafaa kutokomeza hii shida maana mpaka anapatwa stress , crying because of it but hauambukizi.

 
Pole sana,nilitaka nishauri acheki HIV kama teyari na yuko poa basi ngoja tusubiri wataalamu wa afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…