Naomba msaada kwa wajuzi na wataalamu

Naomba msaada kwa wajuzi na wataalamu

Wapoti

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
2,824
Reaction score
1,098
Nina tatizo la kulegea meno kibaya zaidi ni haya ya reception yaani nahisi yatadondoka yote. Tatizo hili linasababishwa na kulika kwa fizi zangu zinazo yafanya meno yaning'inie kwa sababu fizi zinapanda juu. Nilikwenda hospitalini kibaya zaidi daktari akanijibu wewe huna meno tena.Kweli nilikata tamaa kabisa. Naombeni msaada meno yangu yataisha kabla ya umri. Natanguliza shukrani
 
jaribu kuwaona ma-specialist wa meno am sure watakusaidia achana na huyo dokta alokujibu nonesense
 
Back
Top Bottom