Kiswahili ni lugha fasaha na rahisi sana kwa mwenye kutaka kuielewa; nimeombwa niwaulize wajuvi waliobobea kwenye lugha hii mambo hayo
1. Zinaa
2. Mzinifu
Je ni sifa zipi unapaswa uwe nazo ili uitwe mzinifu; je ikiwa ni sahihi mwizi kuitwa mwizi; je ni kosa kwa mzinifu kuitwa mzinifu?