Naomba msaada kwa wanao nunua products online

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Habari wadau wa jukwaa hili,siku nyingi nimekuwa nikitamani sana kununua bidhaa au vifaa vyaa kazi zangu za umeme na dish satellites online kwa unafuu wa bei ila naogopa nahisi usalama hamna wa kutosha naweza ibiwa,mfana ebay.com,alibaba.com. Etc.Sasa kama kuna mdau ambae amewai nunua online naomba anipe uhakika wa usalama na hatua zikoje??

BURTON JORDE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…