Naomba msaada kwa WanaUDSM 1st year!!

Nellywizzo

New Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
3
Reaction score
0
et!hela tsh 77,400/= unaenda nayo chuon ama unadeposit kwenye account yao?thanx if you wll reply!!
 
unatakiwa ulipie kwenye a/c yao..kama sikosei itakuwepo kwenye matangazo...
 
Hakuna pesa ya serikali inayolipwa mkononi siku hizi.
 
HEY!kwan tuition fees unalipa kwan hela ya mkopo cinakatwa pale pale!!!!!!!!!
 
Hii 77400 hii ni direct cost unailipa uwe una mkopo au hauna. Fees kama una 100% hulip kitu, lakini kama sio utahitajika kulipa hyo % inayobaki ili waweze kukufanyia usajili. Pia utahtajka kulipia na rum. Kwa hyo ili ufanyiwe usajili unatakiwa kulipa 77400, fees(% inayobaki), na accomodation.vingizevyo utakosa rum na chuo
 

kaka mfano mi nipo education. nna mkopo wa 3,172,500 je natakiwa kulipa ada kiasi gani yanu % ada yetu ni miliom moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…