Naomba msaada kwenye hili la NSSF

babu salu

Member
Joined
Jan 5, 2020
Posts
27
Reaction score
12
mm ni mwajiriwawa kampuni fulani hapa nchini mwajiri wangu ananikata nssf lkn kule hapeleki ni mwaka wa 3 sasa kila nikiangalia salio hamna kitu nifanyeje ili kuhakikisha pesa yangu inafika sehemu husika

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Aisee jaribu kuwacheki kwa simu yao Bure Huduma kwa Wateja 0800116773 utapewa Mwongozo hapo.
 
Nenda offisi ya nssf yoyote tafuta mtu wa compliance officerz wamkague mwajiri wako, yani atapigiwa hesabu tangu alipokuajiri mpaka sasa
 
Nenda offisini usipige simu kila mkoa na wilaya offisi za nssf zipo na zina wakaguzi wa kila eneo watakuja kumkagua mwajiri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…