Naomba msaada, matairi ya toyota Noah yanaisha upande

Naomba msaada, matairi ya toyota Noah yanaisha upande

shushushu VIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
4,799
Reaction score
4,312
habari wadau

nina toyota noah sasa matair ya nyuma yanakuwa yanaisha kwa upande wa ndani kwa upande wa nje ni mazur ,sasa sijaelewa nn inaweza kuwa tatzo

ushauri niliopewa na baadhi ya madereva wangu ni kwamba
1.nikaangalie baadhi ya bush za nyuma
2.!)nikaangalie wheel alignment
baae3015850493ae13d57db04f0deae9.jpg
291b7ac2127b3ebdf6124b49621b7641.jpg
83a671a9ab36b29cd96bc389563803ae.jpg
04a83b0ae84876205ac6a6f678bb197b.jpg
 
Kama ulinunua kwa mtu inaweza kuwa ilipata ajali..ilishawah kunikuta hata ukifanya wheel alignment kaz bure
 
Ushauri wa madereva hapo juu unatosha kwbisa .hebu ufanyie kazi.pia angalia kama uzito unaobeba unaendana na tyre zako.je unakagua upepo (inflation) mara kwa mara?
Kwa maelezo zaidi nipigie 0713235853

.
 
e92172c07d9c98de86536da9f41519cc.jpg
hapa baada ya kupitia maelezo haya na kuona ugonjww wa gar yangu kwenye picha upo ni kufanya wheel balance na wheel alignment
 
Back
Top Bottom