shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
yap ni matege sasa kuyatibu hayo mategeItakuwa na matege iyo
asante sasa bei yake kufanya ni bei gan kama wajuaKafanye wheel alignment mzee
Inategemea na garage utakayokwenda niliwahi kwenda garage moja singida kufanya hiyo wheel alignment nikalipa 50000 gari ilikua imepinda upande mmojaasante sasa bei yake kufanya ni bei gan kama wajua
unamaanisha nnNegative camber..
haijawah kupata ajaliKama ulinunua kwa mtu inaweza kuwa ilipata ajali..ilishawah kunikuta hata ukifanya wheel alignment kaz bure
Tairi zinapokuwa hivi /\unamaanisha nn
hizo hazijakaa hivyoTairi zinapokuwa hivi /\
nilinunua mwez wa nane mwaka jana balljoint sijawah kubadiliBall joints ulibadilisha lini
nilinunua kwa mtubBall joints ulibadilisha lini
Check kama.madereva walivokwambia...check bushes kama zimeisha badili then fanya wheel balance and alignment.nilinunua kwa mtub