Naomba msaada miguu yangu inavimba nifanyeje?

Huchachukua cha mtu bila ridhaa yake au kuikwaza nafsi ya mtu?
Kwa maana mjini kuna vya watu na vinalindwa..... !?!?
Jaribu kuonana na madaktari kwa uchunguzi zaidi.
Pole sana.
 
amnaa mkuu imeanza tuu yenyeweee....
 
Mbio tu zinatosha, zunguka uwanja mzima, anza kidogokidogo utaona mabadiliko
sawaa nashukuru sanaa,,mazoezi ya aina gani yangenifaa zaidii kuna mtu pia kanambia nipunguze uzitoo nina 85 now kiloo though izo kilo zimepanga kwa kasiii,,,
 
Fanya zoezi jepesi kabla HUJAJUA tatizo linasababishwa na nini.
TEMBEA HARAKA HARAKA KWA NUSU SAA ASUBUHI NA JIONI,FANYA HIVYO ILI KUUANDAA MWILI NA KUPATA USHAURI WA DAKTARI NI AINA GANI YA ZOEZI LITA FAA KWA TATIZO ULILONALO
 
Pima moyo pia ukikaa weka miguu kwenye meza ndogo ining’nie juu. Kama ni tatizo la circulation.
 
sawaa nashukuru sanaa,,mazoezi ya aina gani yangenifaa zaidii kuna mtu pia kanambia nipunguze uzitoo nina 85 now kiloo though izo kilo zimepanga kwa kasiii,,,
Kg 85 je una urefu wa m/cm ngapi?
Unapendelea kunywa na kula nini?
Unajishughulisha na nini?
Umeoa?
Unafanya mazoezi?
Una umri gani
Jinsia?
 
Nenda hospital, anza na vipimo vya awali kama blood pressure, urinalysis, full blood picture, renal function test, blood sugar level hivi vitatoa muelekeo. Don't panic!
 
sawaa nashukuru sanaa,,mazoezi ya aina gani yangenifaa zaidii kuna mtu pia kanambia nipunguze uzitoo nina 85 now kiloo though izo kilo zimepanga kwa kasiii,,,
Urefu ? Hakikisha BMI yako ipo kwenye range ya 18 mpaka 25. BMI=uzito(kg)/(urefu (m))²
 
nenda hosp kamwone doctor
inawezekana dalili ya matatizo ya figo au moyo.
 
Fanya zoezi jepesi kabla HUJAJUA tatizo linasababishwa na nini.
TEMBEA HARAKA HARAKA KWA NUSU SAA ASUBUHI NA JIONI,FANYA HIVYO ILI KUUANDAA MWILI NA KUPATA USHAURI WA DAKTARI NI AINA GANI YA ZOEZI LITA FAA KWA TATIZO ULILONALO
nashukuru kwa hiloo ntalifanyia kazii hilii
 
Back
Top Bottom