the guy here i am
Member
- Nov 11, 2018
- 80
- 31
amnaa mkuu imeanza tuu yenyeweee....Huchachukua cha mtu bila ridhaa yake au kuikwaza nafsi ya mtu?
Kwa maana mjini kuna vya watu na vinalindwa..... !?!?
Jaribu kuonana na madaktari kwa uchunguzi zaidi.
Pole sana.
sawaa nashukuru sanaa,,mazoezi ya aina gani yangenifaa zaidii kuna mtu pia kanambia nipunguze uzitoo nina 85 now kiloo though izo kilo zimepanga kwa kasiii,,,MKUU FANYA MAZOEZI FASTER, NI DALILI ZA STROKE
sawaa nashukuru sanaa,,mazoezi ya aina gani yangenifaa zaidii kuna mtu pia kanambia nipunguze uzitoo nina 85 now kiloo though izo kilo zimepanga kwa kasiii,,,
ahsante sana.Kajaribu kucheki moyo hospitali pia ni vema ukaanza mazoezi na kula milo yenye afya
Hiyo si dalili nzuri usiifumbie macho
Kg 85 je una urefu wa m/cm ngapi?sawaa nashukuru sanaa,,mazoezi ya aina gani yangenifaa zaidii kuna mtu pia kanambia nipunguze uzitoo nina 85 now kiloo though izo kilo zimepanga kwa kasiii,,,
NENDA HOSPITALI WEWENi week sasa toka hili tatizo linianze miguu inavimba lakini sihisi maumivu yoyote yale,,,0768883302 kwa yeyote mwenye kunisaidia,,
Urefu ? Hakikisha BMI yako ipo kwenye range ya 18 mpaka 25. BMI=uzito(kg)/(urefu (m))²sawaa nashukuru sanaa,,mazoezi ya aina gani yangenifaa zaidii kuna mtu pia kanambia nipunguze uzitoo nina 85 now kiloo though izo kilo zimepanga kwa kasiii,,,
nashukuru kwa hiloo ntalifanyia kazii hiliiFanya zoezi jepesi kabla HUJAJUA tatizo linasababishwa na nini.
TEMBEA HARAKA HARAKA KWA NUSU SAA ASUBUHI NA JIONI,FANYA HIVYO ILI KUUANDAA MWILI NA KUPATA USHAURI WA DAKTARI NI AINA GANI YA ZOEZI LITA FAA KWA TATIZO ULILONALO
Sawa Mkuu nakuombea uzima wa harakanashukuru kwa hiloo ntalifanyia kazii hilii