Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Kwa siku ya pili leo nimekuwa nikipata tatizo ya kuingia kwenye mtandao kwa kutumia Mozilla Firefox. Ninaweza kupata homepage ili nikijabu kutoka hapo kwenda kwenye mitandao mingine inashindikana.
Kwa mfano nimetaka kuingia kwenye www.google.com lakini nimeishia kupewa vitu kama hivi vinavyoonekana hapa
http://uk.search.yahoo.com/search?ei=UTF-8&fr=ytff-msgr&p=www.google.com
Nimejaribu kutumia internet explore ambayo niliachana nayo siku nyingi, inakubali lakini nikijaribu kuifunga inakataa. Napata kitu kama hiki hapa:
res://ieframe.dll/acr_depnx_error.htm#,res://ieframe.dll/acr_depnx_error.htm#yahoo.com,http://uk.yahoo.com/
Nimeombeni msaada, nimekwama.