Naomba msaada mwenye notes za advance za History na Geograph

Mmavele jr

Senior Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
130
Reaction score
53
Naomba kwa mwenye nots za history au geography anisaidie pliz au kama kuna web naweza kupata hizo nots
 
Acha uvivu nenda shule na uandike zote kwa mkono .
 
Duuh kwa ushauri tu
Kuna mastering hapo na zisti kamili. Alafu kwa history two unaweza tafuta materials kwenye Internet maana ni European content it's available kwenye Internet

Geography wewe tumia Msabila na David Waugh na zisti kamili for practical geography
 
una bei gan tufanye biashara?
 
Hivi Me Navyojua notes ni unaandikaa wenyewe au ntakuaa wrong...watoto wasikuhizi bana sasa hata kusomewaa atataka asomewe..
 
Naomba kwa mwenye nots za history au geography anisaidie pliz au kama kuna web naweza kupata hizo nots

kijana me na full notes za history paper one and two uje utoe copy tu based on new syllubus coz nilicopy hadi syllubus
 
Geography (physical) tafuta essential of physical geography R muller,An integrated approach by D.Waugh ,Physical geography a landscape appreciation 9ed by Tom l macknight
 
Mm ninazo notes za History 2 na Geography 2,,uko wapi tufanye mchongo mm nipo Moshi
 
watoto wa siku hizi bwana
hapo unposoma huna walimu,marafiki nk
hebu changamsha akili dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…