NCHABHILONDAA Member Joined Jul 5, 2022 Posts 39 Reaction score 22 Aug 19, 2022 #2 Kwani Ukienda Kuweka Biashara Yako Unazuiliwaa???
BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 4,869 Reaction score 13,137 Aug 19, 2022 Thread starter #3 NCHABHILONDAA said: Kwani Ukienda Kuweka Biashara Yako Unazuiliwaa??? Click to expand... Kila pahala Kuna taratibu zake. Huwezi jua unaweza kujikuta umeenda tofauti ukajikuta unawajibika
NCHABHILONDAA said: Kwani Ukienda Kuweka Biashara Yako Unazuiliwaa??? Click to expand... Kila pahala Kuna taratibu zake. Huwezi jua unaweza kujikuta umeenda tofauti ukajikuta unawajibika
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,446 Reaction score 10,976 Aug 20, 2022 #4 Ingia kitaa kutana na wanao fanya biashara mchana watakupa guidance.