mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Bado sijaanza kuuza, je ntakapoanza kuuza unawahitaji?bata mmoja unauza bei gani? upo dar?
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuga kuku, ila kwa siku za karibuni nimeanza kufuga bata maji, na sasa nna bata 150, naomba ushauri je niwaache waendelee kuzaliana au niwauze! pia kama unajua soko la bata hao naomba unijulishe.
nop, nilitaka tu kujua market value yao. maana sijawahi kuwaona sokoni.Bado sijaanza kuuza, je ntakapoanza kuuza unawahitaji?
Lengo lako ni nini? Usitake ushauri kwa mtu asiyejua lengo lako.Si busara pia kupokea ushauri kwa mtu usiyejua hata msimamo na malengo yake yeye binafsi.Ukishauriwa na walioshindwa utaishia kushindwa.
Wewe unajua kiasi cha fedha unazohitaji kufikia unachokitaka.Jihoji ,je ukiwauza utasogea kwenye lengo? ukiwaacha waendelee kuzaliana je una mabanda ya kutosha kuwatunza watakaozaliwa,utamudu kuwapa chakula ili usipoteze ubora wao.
Kuhusu soko ni jukumu lako kutafuta na kulijua kabla ya kuzalisha chochote.Hongera kwa kuthubutu kama unamaanisha na huigizi kuwa umechukua hatua uliyoifikia.
Ok, Wanazaliana kwa kasi sana, kama haujajipanga ktk pumba unaweza kuumbuka.nop, nilitaka tu kujua market value yao. maana sijawahi kuwaona sokoni.
Kwanza hongera, kufikisha hao bata 150 ni juhudi binafsi,Kwa muda mrefu nimekuwa nafuga kuku, ila kwa siku za karibuni nimeanza kufuga bata maji, na sasa nna bata 150, naomba ushauri je niwaache waendelee kuzaliana au niwauze! pia kama unajua soko la bata hao naomba unijulishe.
hatari
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app