Naomba msaada: Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal)

Naomba msaada: Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal)

Mr HQ

Member
Joined
Oct 26, 2020
Posts
81
Reaction score
51
Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal) naomba kujua kiasi gani cha mtaji niandae.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ulizia kodi ya eneo utakalochukua

Uliza bei ya mzigo utakaochukua

Gharama za matengezo na maboresho.

Jumla ya gharama ndio mtaji
 
ulizia kodi ya eneo utakalochukua

uliza bei ya mzigo utakaochukua

gharama za matengezo na maboresho.

Jumla ya gharama ndio mtaji
Ahsante sana eneo kila kitu ninacho ila sijui mzigo (bidhaa) unagarimu bei gani nahitaji kupata qualified person katik hii biashara πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ahsante sana eneo kila kitu ninacho ila sijui mzigo (bidhaa) unagarimu bei gani nahitaji kupata qualified person katik hii biashara πŸ™πŸ™πŸ™
Kuna mfanyabiashara maarufu jijini Mwanza pale Igoma ana deal na hizi mambo. Nitakutumia namba muongee
 
Back
Top Bottom