Naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu

Moody Rutunga Jr.

Senior Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
110
Reaction score
16
Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande wa hardware tunaweza kuongea zaidi.
Naomba kuwasilisha.
 
Tafuta Fundi simu aliekaribu na wewe uweze kumuomba uwe nae kwa mafunzo
 
una idea hata kidogo. binafsi mimi sikujifunza kwa fundi yeyote mimi nilikua nina idea kidogo nikafungua ofisi nikaanza kazi ikija kazi ngumu natumia youtube. Na sasa sio haba kwa kiasi flani nimeiva
 
Kama unapesa ni 150.000 veta kwa iyo hardware na software
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…