Naomba msaada, nahitaji kununua gari nifanye tax kwa njia ya mtandao

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Mimi ni mmoja wa wanufaika na mikopo ya serikali kupitia halimashauri.. mungu akipenda mapema mwanzoni mwa mwaka nitamaliza mkopo na Nita omba mwingine..Sasa nahitaji kununua gari nifanye tax kwa njia ya mtandao. Kama Uber na mitandao mingine kwa ujumla Sasa naomba wazoefu watusaidie kazi hii inalipa? Na Aina gan ya gari zinafaa zaidi? Na msaada mwingine ikibidi kwa walio wazoefu plz...
 
Kazi ni Kilimo na gari ni tractor ...Yani nashangaa sana yani unapesa hata akili ya kuifanyia nini hujui...si bora uhonge au umpe dada yako akasukie
 
Mkuu huu ushaur au masimango?? Kuna tractor ya 7mil??
 
Hiyo mikopo si inatolewa kwenye vikundi? mfano akina mama na vijana! Au hata mtu moja moja pia anaweza kunufaika? Na riba yake ni % ngapi kwa mwaka? Na unatakiwa kurejesha huo mkopo baada ya muda gani?

Jibu haya maswali tafadhali kwa faida ya wengi.
 
Kazi ni Kilimo na gari ni tractor ...Yani nashangaa sana yani unapesa hata akili ya kuifanyia nini hujui...si bora uhonge au umpe dada yako akasukie
Wanaume wengi wetu tuna stress na hio imedhibitishwa Leo kwenye vyombo vya habari, ila suluhisho ni kupata muda wa KULIA, itapunguza.
 
Hiyo mikopo si inatolewa kwenye vikundi? mfano akina mama na vijana! Au hata mtu moja moja pia anaweza kunufaika? Na riba yake ni % ngapi kwa mwaka? Na unatakiwa kurejesha huo mkopo baada ya muda gani?

Jibu haya maswali tafadhali kwa faida ya wengi.
Kwa vikundi kuanzia watano na kuendelea.. milion 3 kwa watu 5 kwakuanzia marejesho mwaka au ukiweza CHINI ya mda huo unaomba Tena. Hakuna riba hata sentmoja. Mengine njoo dm
 
Sijui kama uber wanapata faida sana,Kkoo-ubungo tax ya kawaida 20,000/ uber kama hamna foleni kuna siku nililipa 5900/......juzi kulikuwa na foleni kiasi nikalipa 8000/ nikamuuliza dereva mnapata faida kweli maana naona kama uneifanya tax ya kawaida tu.......juzi Jamaa yangu kuchukua uber stand ya mkoa to Segerea mwisho kule kalipa 11000/ .

Anyway wataalamu wapo ila kwa kuangalia tu naona ni changamoto sana
 
Hiyo mikopo si inatolewa kwenye vikundi? mfano akina mama na vijana! Au hata mtu moja moja pia anaweza kunufaika? Na riba yake ni % ngapi kwa mwaka? Na unatakiwa kurejesha huo mkopo baada ya muda gani?

Jibu haya maswali tafadhali kwa faida ya wengi.

Ni wamama na vijana..sidhan km kuna ya individual!riba ni ndg ..ninesahau kidg..nadhan ni 10%...
 
Kwa vikundi kuanzia watano na kuendelea.. milion 3 kwa watu 5 kwakuanzia marejesho mwaka au ukiweza CHINI ya mda huo unaomba Tena. Hakuna riba hata sentmoja. Mengine njoo dm

Hakuna riba?? Sisi tulipewa 2016 tulilipa na riba..ila ikua ndogo nimesahau..mamikopo ya vikundi ni kero
 
Achana na Uber....
Utachoka, utaichosha gari na huto ambulia chochote....

Labda ufanye wewe 24hrs, sio baada ya muda wa kazi
 
Back
Top Bottom