Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Nipo dar es salaamUpo mkoa gani?
Of course nanunua naendesha mwenyewe mkuuHailipi
ukiendesha mwenyewe kidogo unaweza kuona matunda kidogo
ukweli hailipi
Nataka kuendesha mwenyeweUtalia kilio cha mbwa mwizi arifu.
Mkuu huu ushaur au masimango?? Kuna tractor ya 7mil??Kazi ni Kilimo na gari ni tractor ...Yani nashangaa sana yani unapesa hata akili ya kuifanyia nini hujui...si bora uhonge au umpe dada yako akasukie
Kama utaendesha mwenyewe na ukafuata misingi ya kujinyima na kuweka akiba utafika mbaliOf course nanunua naendesha mwenyewe mkuu
Wanaume wengi wetu tuna stress na hio imedhibitishwa Leo kwenye vyombo vya habari, ila suluhisho ni kupata muda wa KULIA, itapunguza.Kazi ni Kilimo na gari ni tractor ...Yani nashangaa sana yani unapesa hata akili ya kuifanyia nini hujui...si bora uhonge au umpe dada yako akasukie
Kwa vikundi kuanzia watano na kuendelea.. milion 3 kwa watu 5 kwakuanzia marejesho mwaka au ukiweza CHINI ya mda huo unaomba Tena. Hakuna riba hata sentmoja. Mengine njoo dmHiyo mikopo si inatolewa kwenye vikundi? mfano akina mama na vijana! Au hata mtu moja moja pia anaweza kunufaika? Na riba yake ni % ngapi kwa mwaka? Na unatakiwa kurejesha huo mkopo baada ya muda gani?
Jibu haya maswali tafadhali kwa faida ya wengi.
Hiyo mikopo si inatolewa kwenye vikundi? mfano akina mama na vijana! Au hata mtu moja moja pia anaweza kunufaika? Na riba yake ni % ngapi kwa mwaka? Na unatakiwa kurejesha huo mkopo baada ya muda gani?
Jibu haya maswali tafadhali kwa faida ya wengi.
Kwa vikundi kuanzia watano na kuendelea.. milion 3 kwa watu 5 kwakuanzia marejesho mwaka au ukiweza CHINI ya mda huo unaomba Tena. Hakuna riba hata sentmoja. Mengine njoo dm
Kwa hiyo mkishapewa huo mkopo wa vikundi halafu mnagawana kila mtu anabaki na pesa yake ama?Ni wamama na vijana..sidhan km kuna ya individual!riba ni ndg ..ninesahau kidg..nadhan ni 10%...
Kwa hiyo mkishapewa huo mkopo wa vikundi halafu mnagawana kila mtu anabaki na pesa yake ama?