Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship

Kwani siku hizi darasa la 5 hawafundishi tena namna ya kuandika barua za kirafiki na za kiofisi?

Anyway, tafuta karatasi na kalamu, meza, mahali pa kugandamizia, anza kuandika jina lako, unakoishi, tarehe,

Andika kichwa cha habari, kisha maelezo yako, weka kwenye bahasha ipeleke unakotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…