Naomba msaada namna ya kutengeneza fondant ya keki

kelcie

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
58
Reaction score
21
habarini humu ndani naomba msaada jinsi ya kutengeneza fondant sababu nimeangalia youtube naona wanaweka icing suger na marshmallow sina hakika kama hii marshmallow inapatikana hapa kwetu
 
Nowdays wamerahisisha unapata foundat ikiwa imetengenezwa Tayari. Kutengeneza inahitaji uwe na gelatin, glucose, gryline na icing sugar..
 
Unapoomba msaada lazima usimplify lugha yako, utakosa mengi kwa kutokuwa open...
 
Back
Top Bottom