Naomba msaada nataka ku-apply tena kupitia CAS NACTE

kachy

Senior Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
138
Reaction score
69
Habarini wana jamvi,

Nilikua naomba msaada nataka ku apply tena kupitia CAS NACTE ila nimechaguliwa chuo kingine na uhitaji wangu ni chuo cu serikalii na apply vp sababu kiLa nikitaka kutuma siletewi option ya kufanya application naambiwa nimechaguliwa ilihalii nahitaji kufanya application tena msaada.
 
Option inaruhusu kwa waliokosa nafasi, kama hukitaki chuo uluchopangiwa subili mwakani
 
Amekujib sahih lakini unaweza kuhama, naona kwenye calenda yao kuna siku ya kubadili kozi online. Sasa kuhusu kuhama vyuo fuatilia zaidi ila inawezekana wakishamalza mchakato mzima uliopo sasa.
 
Habarini wana jamvi,

Nilikua naomba msaada nataka ku apply tena kupitia CAS NACTE ila nimechaguliwa chuo kingine na uhitaji wangu ni chuo cu serikalii na apply vp sababu kiLa nikitaka kutuma siletewi option ya kufanya application naambiwa nimechaguliwa ilihalii nahitaji kufanya application tena msaada.
Afu hii issue imewakuta watu wote waliomba vyuo vya serikal na vya private. Wote wamepangiwa private.
 
Back
Top Bottom