Jumjum kapo
Member
- Oct 17, 2022
- 32
- 86
Kupokea tenda za ujenzi au kusambaza vifaa vya ujenzi?? Jambo uliloliwaza ni nzuri sana
Kwanza jua status ya kampuni huko TRA. Unaweza kukutana na kimeo cha returns had ukaikimbia!
Chukua TIN ya kampun. Nenda TRA mkoa uliopo. Utapata mkeka wa kampuni.Status yake nikitaka kufahamu nafanyaje?
Hapo sasa unatakiwa uje kivingine,dunia ya sasa ipo kwenye mitandao,kwanza fungua accounts za biashara hiyo kwenye mitandao ya kijamii ,pili tengeneza vipeperushi na business card ya biashara yako,brand biashara yako iwe kwenye usafiri au nguo utakazovaa kazini ziwe za jina la kampuni yako,weka discounts kwa kila bidhaa,last one good customer care..Kupokea Tender za ujenzi
Fuata hatua hizi:Kama Title inavosema
Nimekua Katika familia ya mzee mwenye uwezo kidogo lakini alifanikiwa kufungua kampuni kubwa iliyofanya ujenzi wa kazi mbali mbali mirador mikubwa
Lakini nimemaliza chuo sasa nataka kuendeleza Ile kampuni lakini sijui nianzie wapi maana imekua domant kwa muda mrefu sana naombeni msaada au ushauri nifanyeje kama inawezekana??
Chukua TIN ya kampun. Nenda TRA mkoa uliopo. Utapata mkeka wa kampuni.
Suala unaweza kupata uhafuen wa nini na kivipi ni lugha yako na uelewa.
Zingatia usiende ofis za mamlaka kiujuaji wakaingiza details za maden kwenye mfumo, utalia.
Au tafuta tax consultant utapata mwanga. Lugha uloanza nayo nahis una kimeo cha hatari.
Kama mzee yupo muulize kama aliandika barua ya kusimamisha biashara? Kama siyo jaribu kufungua kampuni nyingine au mfuate kiongozi wa tawi la karibu la TRA ujadiliane naye. Maana kama hakuandika barua watakukadilia kodi ya kipindi chote mpaka leo!Kama Title inavosema
Nimekua Katika familia ya mzee mwenye uwezo kidogo lakini alifanikiwa kufungua kampuni kubwa iliyofanya ujenzi wa kazi mbali mbali miradi mikubwa.
Lakini nimemaliza chuo sasa nataka kuendeleza Ile kampuni lakini sijui nianzie wapi maana imekua domant kwa muda mrefu sana naombeni msaada au ushauri nifanyeje kama inawezekana?
Naomba nijuze kama ulifungua kampuni hukufanikiwa kuiendesha kwa muda mrefu bira kutoa taarifa TRA then unataka kufungua nyengine je itawezekana na je utapotaka kwe da kutafuta Tin number taarifa za awali si zitaonesha teyar unayo Tin hapo inakuaje mkuu?Kama mzee yupo muulize kama aliandika barua ya kusimamisha biashara? Kama siyo jaribu kufungua kampuni nyingine au mfuate kiongozi wa tawi la karibu la TRA ujadiliane naye. Maana kama hakuandika barua watakukadilia kodi ya kipindi chote mpaka leo!
Kama mzee yupo muulize kama aliandika barua ya kusimamisha biashara? Kama siyo jaribu kufungua kampuni nyingine au mfuate kiongozi wa tawi la karibu la TRA ujadiliane naye. Maana kama hakuandika barua watakukadilia kodi ya kipindi chote mpaka leo!
Alikuwa anawasilisha ritani kama inavyotakiwa kisheria baada ya kuandika barua!?Ipo nyengine aliandika barua ya kusimamisha kazi.