MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
Wewe mod uliefuta comment yangu unaona nafaidi m**** wewe[emoji35][emoji35]
Futa tena basi nipige ban uridhike
Mkuu site bora na namba moja ya kuagiza magari ni (BEFORWARD) kuhusu insurance huwezi kukwepa lakini pia kwenye site watakuonesha gharama zote mpaka gari inakufikia mkononi amna janja za clearance kwa Agent bandarini wala nini....We ingia beforward.jp website unapoweka ODA yako weka BFS ID namba hii ( 2392410 ) unapata discount nzuri tu kwa msaada zaidi DM
Mod acha roho mbaya
Ipo unaweza kucancelMwl nashukulu kwa maelezo ila option ya kuagiza bila insurence
Mkuu ingependeza kumpa elimu ya Insurance, ni hatari sana aiseee.Ipo unaweza kucancel
Cheap is expensive! Hiyo bima siyo mapambo. Kama unaona ni ghali basi jipe muda, jipange, ili uwe na uwezo wa kulipia. Nakuona kabisa wewe ni wale watu wenye ulimbukeni na magari na una hamu sana ya kununua ili tu nawe uwe na gari!Mwl nashukulu kwa maelezo ila option ya kuagiza bila insurence
Chukua tahadhari mkuu website zingine matapeli, ukishalipa wanapotea. Mi nishalizwa na sikuweza pata msaada hata kwa ubalozi wa Japan hapa nchini hawa kuwa na la kufanya. Chukua tahadhari sana na website gani una deal nao.
bima lazima ulipie mkuu, lakini inspection siku hizi hazilipiwi sababu gari huwa inakuja kukaguliwa huku tz na tbs ambayo utalipia 350,000. hizo site ulizotaja zote ni nzuri na zina magari mazuri, wewe chagua gari unayopenda mwenyewe maana mtumiaji ni wewe, acha kusikiliza watu wanaovutia biashara za site zao mkuu.
kwa chochote na msaada wa ushuru unaweza ni DM pia nitakushahuri na kukusaidia wala sihitaji hela yako
Cheap is expensive! Hiyo bima siyo mapambo. Kama unaona ni ghali basi jipe muda, jipange, ili uwe na uwezo wa kulipia. Nakuona kabisa wewe ni wale watu wenye ulimbukeni na magari na una hamu sana ya kununua ili tu nawe uwe na gari!
Unachokitafuta utakipata?Mwl nashukulu kwa maelezo ila option ya kuagiza bila insurence
Kwanini usiwatembelee hao wakupe maelekezo?Nashukuru kwa maelezo kaka.
Mimi nimeipenda hii website realmotor.jp ina magari mazuri cheap sana nimeona hata kuna kampuni ya tz (tele motors) wananunua kwao
Unachokitafuta utakipata?
Unajua docs za kuagiza gari?
Kwanza unaitoa wapi?
Ulaya?
Singapore?
Japan?
Kama hujawahi kabisa tumia agency zenye ofisi hapa bongo.
Ila kama huna cha kupoteza go ahead.
Utakapotumiwa shipping line na makorokoro yake ukute JAAI imefojiwa au kuisha muda wake ndio utajua hujui
Kila la heri Mkuu hayo yalikuwa mawazo yangu tuKiongozi nashukuru kwa ushauri.gari naagiza japan .
Kingine unatakiwa ujue sio mweupe kivile kuagiza vitu kutoka nje.nilitaka tu kupata more experience kwa wadau.