Wapendwa kuna tatizo ambalo linanifanya nikose aman"nikila ninapoka kufanya mapenzi na mwenza wangu najiskia maumivu na kupata michubuko sehemu ya mbele ya uume hasa pale nlipokuwa nimeshonwa baada ya kutailiwa na nilitailiwa miaka 20iliyopita nn tatizo wataalamu wangu?.