Naomba msaada ndugu zangu.

Jamaa alikua ni mtambo list yate hiyo, kama mb***** ingekua ni kifutio saizi kingekua kimekwisha kabisa
 



Issue hii ni kubwa mno... Ushauri kwa huyu dada afuate moyo wake unavyotaka... Personally the guy is so Yesterday, ukiendekeza haya mambo atatembea sasa na mwanao mana ndo kilichobaki...
 
Mkuu hiki ni kisa cha ukweli au ni hadithi tuu....nimepatwa na mshtuko kwanza kusikia ametembea na dada wa kuzaliwa pamoja..mama mkwe...dah hii inatisha sana sio jambo la kawaida. Na je alikuwa na nguvu gani kuweza kuwashawishi hao watu bila wao kumkataa? vipi kuhusu afya yake? hajapata hata gonjwa la zinaa? achilia mbali gonjwa kuu. Hivi atakuwa sio mzima...pepo lake la ngono litakuwa sio la kawaida.
 
Ni neema mumeo kukiri na kuwa kiiumbe kipya. Wewe na jiba lako la roho ndiyo likuue kwa sababu umeshindwa kuoka. Kama hutaki kumsamehe funga kilicho chako ondoka mwache mlokole wa watu aponde raha ndani ya Yesu.

Dada wewe ukiambiwa ukiri hapa sasa hivi nafikiri no one can stand! mpe maisha yako Yesu.

May God bless you!
 
Binadamu hivi kusamehe na kusahau vinaenda pamoja ,kusamehe ni muhimu kwa afya ya moyo wake ,kusahau mtu ame f.a.c.k wote hao.anauwezo wa kusahau , kama atakuwa akimwona then anaona umalaya wake ,msamaha utakuwa cover tu sio uhalisia!
Sawa kabisa mkuu, kusamehe ni muim icpo kuwa tatizo ni kwny kusahau, ktk hali ya kawaida ni ki2 kisicho wezekana afu kutokusahau ni msaada wa kuchukulia matukio yaliopita kama riferens ili tusirudie makosa ya zamani. La muim hapa ni kuwa baada ya msamaa usitumie kosa la zamani kama bakora ya kumchapa msamehewa.
 
Jamaa alikua ni mtambo list yate hiyo, kama mb***** ingekua ni kifutio saizi kingekua kimekwisha kabisa

Na ingekuwa mtu kila akifanya hayo maneno anatoboka mara moja, huyo jamaa leo angekuwa kama nyavu!
 
Mi sielewi, anataka amsamehe nini tena kama 'amekwishaombewa' na kukiri?
Yaishe, alikuwa na pepo na limeshatoka!

Yaani haamini kama ni kweli anaweza kubadilika kutokana na matendo aliyoyafanya.yuko njia panda.
 
Ahsante mkuu,ni kisa cha ukweli kabisa,sio hadith kaka,tena jamaa anasema hata yeye anahitaji ushauri,ati alikuwa hajitambui kabisa.
 
Ni kweli kabisa,ila inataka moyo,nadhani huyu dada nae anahitaji maombi ili aweze kusamehe,mambo mazito sana haya.
 
Hivi huyo mama mkwe anaenda kutembea na mkwe ni akili?Na hao dada za mke ah!,anyway,mwambie kuwa aamue mwenyewe kama amsamehe au la,mambo mengine mpaka kinyaa!

We acha tu,upande wa mama mkwe ndo usiseme kabisa,kwani huyo mama mkwe mwenyewe ni mke wa mchungaji wa kanisa moja la kilokole.Hapo anadai mama mkwe alimpigia cm,akamwita nyumbani kwake,akiwa amevaa kanga moja bila nguo ya ndani,baada ya kula tu,mchezo ukaishia kwenye sofa.Huwezi amini,ila ndo ukweli.
 
Naomba tafsiri halisi ya kiswahili ya msemo huu 'a leopard can not change its spots'
 
kama bado anampenda-amsamehe waendeleze maisha-ishatokea-hata akimkataa hawez badili ukweli
 
Mwache dada yako ayamalize mambo yake mwenyewe!
 
Mi nadhani a good idea ni kumsamehe na pia kuongeza maufundi
kunako tendo la ndoa ili jamaa asije pata nafasi ya kuwakumbuka
walokuwa wanampagawisha kipindi hicho maana shetani ana nguvu
zake bana asikwambie mtu. Unaweza jikuta unakiri mbele ya kadamnasi
kuwa hutorudia tena ila siku akikuvisit unastukia umerudia yale yale.
 

Ni kweli kila kitu tunamsingizia shetani,wakati mwingine hata shetani huwa anashangaa dhambi tunazofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…