Naomba msaada ndugu zanguni

Naomba msaada ndugu zanguni

brazoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
707
Reaction score
508
Niliweka fetha bank nilifungua fixed account hiyo bank walikua wanatoa riba ya 3% for three month na kianzio kilikua 500,000 je after hiyo miezi mi 3 ilitakiwa nipate shilingi ngapi? Naombeni msaada mie kwenye hizo calculations sipo vizuri
 
Hii habari umesema ni Tetesi hivyo swali lako auko serious bado ni tetesi
 
Interest=3%x(3/12)x500,000=3,750
Jumla ya pesa utakayopata baada ya miez 3 kabla ya kodi ni 500,000+3750=503,750/=
Hasara(inflation)=6%x(3/12)x500,000=7,500/=
Maana yake pesa uliokuanayo miezi 3 iliyopita iliyokua inaweza kununua kitu cha 500,000/= sasa hiv haiwez sbb kile kitu sasa kinauzwa 507,500/= wkt ww una 503,750/=
Ni vigumu kufaidika kwa kufanya uwekezaji kama fixed deposits, kununua hisa, ujenzi wa nyumba nk kwa mitaji midogo. Suluhisho ni kufanya biashara kwanza uwekezaji baadae.
Naomba kurekebishwa kama.............
 
Nipo serious ndugu ila ndo post yangu ya kwanza humu sorry
 
Kaka Godfrey kwahiyo faida hapo ni 3750 kwa miezi mi 3?
 
Interest=3%x(3/12)x500,000=3,750
Jumla ya pesa utakayopata baada ya miez 3 kabla ya kodi ni 500,000+3750=503,750/=
Hasara(inflation)=6%x(3/12)x500,000=7,500/=
Maana yake pesa uliokuanayo miezi 3 iliyopita iliyokua inaweza kununua kitu cha 500,000/= sasa hiv haiwez sbb kile kitu sasa kinauzwa 507,500/= wkt ww una 503,750/=
Ni vigumu kufaidika kwa kufanya uwekezaji kama fixed deposits, kununua hisa, ujenzi wa nyumba nk kwa mitaji midogo. Suluhisho ni kufanya biashara kwanza uwekezaji baadae.
Naomba kurekebishwa kama.............

So kunua hisa nibora zaidi ya fixed deposits?
 
Ndio maana yake
Naitwa Geofrey sio godfrey

Okey shukrani sana kaka Geofrey now sikosei tena

I wish ningejua tokea mapema nisingepoteza mda wote huo kwa kutafuta 3750 ila kukosea ndo kujua sitorudia tena
 
pole dogo, next time omba ushauri kabla hujatenda. hiyo laki 5 ungenunua nguo kariakoo ukakopesha wafanyakaz maoficn ungepata faida ya hadi laki mbili kwa mwezi. ungeanzisha kijiwe cha chipsi kuku uswazi ndani ya mwezi una milioni mbili
 
Tatizo ni mda ndugu yangu nipo chuo muccobs pana bana kinoma noma so nashindwa kufanya hivyo na nikaona nibora nifanye hivyo ila nimejuta coz ni miezi sita na nimejikuta nimepata faida ya 9000 tu daaah najuta kufanya hivyo but now naona nibora kununua hisa
 
Uko.chuo halafu.kilaza hivyoo??duhh
 
huko kwn hisa ndo unaelekea chaka kabsaa! think twice b4 you do it! uliza wataalamu c kuingia kichwakichwa
 
Nami pia namsikitikia aunt yangu, eti kaweka 50,000,000/Tsh fixed account crdb bank tangu mwezi wa tisa mwaka jana, kaenda kucheki gawiwo/earning kakuta ipo 52,670,000/=.
ni hasara juu ya hasara!
 
Ni asira sana lakini sasa ndo huvyo tufanyeje sasa wakati mda unabana
 
Back
Top Bottom