Utapata 515k
Interest=3%x(3/12)x500,000=3,750
Jumla ya pesa utakayopata baada ya miez 3 kabla ya kodi ni 500,000+3750=503,750/=
Hasara(inflation)=6%x(3/12)x500,000=7,500/=
Maana yake pesa uliokuanayo miezi 3 iliyopita iliyokua inaweza kununua kitu cha 500,000/= sasa hiv haiwez sbb kile kitu sasa kinauzwa 507,500/= wkt ww una 503,750/=
Ni vigumu kufaidika kwa kufanya uwekezaji kama fixed deposits, kununua hisa, ujenzi wa nyumba nk kwa mitaji midogo. Suluhisho ni kufanya biashara kwanza uwekezaji baadae.
Naomba kurekebishwa kama.............
Kaka Godfrey kwahiyo faida hapo ni 3750 kwa miezi mi 3?
pole dogo, next time omba ushauri kabla hujatenda. hiyo laki 5 ungenunua nguo kariakoo ukakopesha wafanyakaz maoficn ungepata faida ya hadi laki mbili kwa mwezi. ungeanzisha kijiwe cha chipsi kuku uswazi ndani ya mwezi una milioni mbili
Tatizo ni mda ndugu yangu nipo chuo muccobs pana bana kinoma noma so nashindwa kufanya hivyo na nikaona nibora nifanye hivyo ila nimejuta coz ni miezi sita na nimejikuta nimepata faida ya 9000 tu daaah najuta kufanya hivyo but now naona nibora kununua hisa
Nami pia namsikitikia aunt yangu, eti kaweka 50,000,000/Tsh fixed account crdb bank tangu mwezi wa tisa mwaka jana, kaenda kucheki gawiwo/earning kakuta ipo 52,670,000/=.
ni hasara juu ya hasara!