Haki yako ilikuwa kwenye ticket kiongoziWakuu naomba nisaidiwe.
Nimetoka Mwanza Leo August 5 na basi la Kampuni ya Kapriconi lenye namba za usajili T 320 ADC tukiwa tunaelekea Mbeya.
Tumefika saa 3 na nusu usiku , ghafla gari ikaamua kuishia iringa na Sisi abiria kuambiwa tupande coaster na ikaondoka fasts. Kwenye Kosta mlangoni wanadai tiketi za kwenye Kapriconi na Mimi Kwa sababu ya kushuka ghafla tiketi nilisahau kwenye Siri.
Kwa hiyo nimetakiwa kulipa tena nauli ya Iringa -Mbeya .
Naomba kujua naanzia wapi kudai haki yangu maana pia nimeshalilika na kufedheheka.
PointHuna namba za agent ili athibitishe kule kwenye kitabu cha risiti? Alafu kwanini wanafaulisha kizembe ivo ...usitoe pesa baki hapo mpaka mwende kituo cha polisi ... maana kama Huna pesa zingine utawapa nini ... kwanza ni kosa kumdhalilisha mtu
Usiwe mnyonge mkuu ....Ahsante Sana mkuu
Hapo kuna harufu ya kuibiwa .. utapeli wa wazi wazi ... ingekuwa ni mimi kwanz kwenye hiyo kosta sishuki pia sitoi pesa wao wawasiliane wangalie kwenye kitabu cha risiti ... au twende kituo cha polisi tuka malizane ... what if huna budget ya kutoa pesa nyingine utawapa niniHakuna sababu , wameamua tu na gari imeondoka haraka sijui imeelekea wapi
nakazia hapa.Huna namba za agent ili athibitishe kule kwenye kitabu cha risiti?
Halafu kwanini wanafaulisha kizembe ivo ...usitoe pesa baki hapo mpaka mwende kituo cha polisi ...
Maana kama Huna pesa zingine utawapa nini ... kwanza ni kosa kumdhalilisha mtu
Mwanza - Mbeya ndio gari hizi hizi mkuu.Binafsi basi namba A,B na C sipandi ng'o pesa nitafute kwa shida bado niitumie kwa shida,, never