Naomba msaada, nikila nakohoa, napaliwa sana

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,456
Kwa wiki moja sasa napata shida kweli. Nikila napaliwa sana. Mfumo wa chakula na hewa vinaingiliana. Ili nipate nafuu, lazima nipigwe pigwe mgongoni karibu na shingo.

Hata nikipiga mswaki hali ni hiyo hiyo. Nimepata dawa za mzio lakini naona hali bado.

Naomba ushauri.
Manyerere
0759488955
 
Last edited by a moderator:
Hatari sana hiyo,hakuna kitu naogopa kama kupaliwa asee
 
Pole M.J,Umejaribu Kucheck Kimeo kwa wataalamu?
 
inawezekana ukawa na uvimbe ndan hvyo fka kituo cha tba kwa ajli ya endescopy
 
Jaribu kuacha kutumia chumvi ya mezani na pia acha kutumia chilli source .. Mabadiliko lazima utayapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…