Naomba msaada: Nikitengeneza siagi ya karanga inachacha haraka

Naomba msaada: Nikitengeneza siagi ya karanga inachacha haraka

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
jamani wana jamvi wa mapishi mim nime jaribu sana kutengeneza peanuts butter lakin kila niki pack kwenye container ina chacha hivi ni kwa nini
naomba msaada wenu jamani
 
Back
Top Bottom