MICHO THOMAS BK
Member
- Jun 2, 2012
- 48
- 6
Naomba msaada wana janv mimi nimetumia chndarua baada ya siku naona naota vipele sehemu mbali mbali za mwili hasa mkono mmoja ambao nilikuwa nimeuweka kwenye chandarua kwa sababu nilikuwa sikichomeki kitanda kikubwa na upele kama hauna husaa mwingi.
Asante mkuu. Sijui hiyo dawa inaitwaje.Allergic reaction na dawa probably, ukiacha kutumia/kugusa itapita kwa mengine mwone doctor au pharmacist akupe cream ya kukupoza.
Mkuu mbona sikuelewi?Kwaheri mwalimu
Asante mkuu. Sijui hiyo dawa inaitwaje.
Namaanisha una alergy na dawa ya kuzuia mbu kwenye chandarua, sijui utapewa dawa gani pharmacy, labda hauhitaji hata dawa acha kutumia hiko chandarua chenye dawa.Asante mkuu. Sijui hiyo dawa inaitwaje.
Vyandarua vya msaada wa George W Bush??
Mkuu dawa hapo ni kuiloweka hiyo chandarua kwa sabuni ya unga kwa siku 3 ili kupunguza ukali wa dawa.hata mimi ilikuwa hivyo.