Naomba msaada nimepata tatizo la vipele kwenye úume

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Habari ya wakati huu

Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo.

Mara ya mwisho kukutana na mwanamke bila kinga ni mwaka mmoja uliopita na mara zote nimekuwa nikitumia kinga au abstain from sex.

Genital hygiene huwa sivai nguo ya ndani bila kuipiga pasi na kubadilishwa kila mara

Kama kuna dawa au njia nzuri ya kuweza kukabiliana navyo naomba msaada [emoji1488]

 
pole sana
 
Genital Warts)HPV Human Papilloma Virus gonjwa la zinaa muone Dr na usifanye mapenzi na mwanamke utamuambukiza mwishowe apate CERVIX Cancer
 
Warts , hazina dawa ila zinapona haraka ukifata ushauri wa kitaalam, Google kuhus warts ukizijua hazitakusumbua kisha muone daktar
 
Genital Human Papilloma Viruses.Google halafu nenda kwa medical expert kesho.Usile pisi bila kinga au sitisha kwanza,dili navyo kwanza.Pole sana mkuu.
 
Mbona ID yako ina walakini mkuu, karv nimeitafsiri kwa namna yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…